Mfumo wa Kidijitali kwa Elimu Tanzania Digital Platform for Education in Tanzania

Mfumo Mmoja kwa Shule Yako Yote One Platform for Your Entire School

Shuleni inaleta pamoja usimamizi wa shule, maandalio ya masomo, na ujifunzaji mtandaoni, kwenye jukwaa moja lililoundwa mahususi kwa walimu na shule za Tanzania. Shuleni brings together school management, lesson planning, and online learning, in one platform built specifically for Tanzanian teachers and schools.

0%
Mtaala wa TIETIE-Aligned Curriculum
0
Mikoa YanafikiwaRegions Reachable
24/7
UpatikanajiAvailability
Huduma ZetuOur Services

Kila Kitu Shule InachohitajiEverything a School Needs

Tunatengeneza suite ya zana za kidijitali zinazofanya kazi ya walimu na uongozi wa shule kuwa rahisi zaidi.We're building a suite of digital tools that make the work of teachers and school leadership simpler.

Lesson Planner

Tengeneza maandalio ya somo kwa haraka yakifuata Mtaala wa TIE, kwa msaada wa AI. Pakua PDF/Word, fanya kazi hata bila mtandao mzuri, na fuatilia matumizi yako kwa urahisi. Create TIE curriculum-aligned lesson plans in minutes with AI assistance. Export to PDF/Word, work even without a strong connection, and track your usage with ease.

Fungua SasaOpen Now

School Management

Simamia kumbukumbu za wanafunzi, ada, mahudhurio, na mawasiliano na wazazi, yote mahali pamoja. Mfumo huu unaboreshwa kwa sasa ili kukuletea uzoefu bora zaidi, utakuwa hewani hivi karibuni. Manage student records, fees, attendance, and parent communication, all in one place. Currently undergoing improvements to bring you an even better experience, back online soon.

Soma ZaidiLearn More

Online Learning

Jukwaa la ujifunzaji mtandaoni kwa masomo ya video, mazoezi, na ufuatiliaji wa maendeleo ya wanafunzi, linatengenezwa kwa ajili ya walimu na wanafunzi wa Tanzania. An online learning platform for video lessons, practice exercises, and student progress tracking, being built for Tanzanian teachers and students.

Soma ZaidiLearn More
Kwa Nini ShuleniWhy Shuleni

Imeundwa kwa Ajili ya TanzaniaBuilt for Tanzania

Haraka na RahisiFast & Simple

Msaada wa AI unakupunguzia muda wa maandalizi kwa kiasi kikubwa.AI assistance cuts your prep time dramatically.

Salama na ImaraSecure & Reliable

Taarifa zako zinahifadhiwa kwa usalama na kuhifadhiwa nakala mara kwa mara.Your data is stored securely and backed up regularly.

Inafanya Kazi Bila MtandaoWorks Offline

Sakinisha kama app ya simu, endelea kufanya kazi hata mtandao ukiwa hafifu.Install like a mobile app, keep working even on a weak connection.

Kiswahili na KiingerezaSwahili & English

Badilisha lugha wakati wowote, mfumo mzima unakufuata.Switch languages anytime, the whole system follows you.

Inafuata Mtaala wa TIETIE Curriculum Aligned

Kila kipengele kinaendana na mtaala rasmi wa Tanzania Institute of Education.Every element aligns with the official Tanzania Institute of Education curriculum.

Imeundwa kwa Walimu wa TanzaniaBuilt for Tanzanian Teachers

Kila kipengele kimeundwa kikizingatia uhalisia wa madarasa ya Tanzania.Every feature is designed around the real classroom context in Tanzania.

Uko Tayari Kuanza?Ready to Get Started?

Jiunge na walimu wanaotumia Lesson Planner kuandaa masomo kwa haraka na kwa ubora zaidi, anza bure leo.Join teachers using Lesson Planner to prepare lessons faster and better, start free today.