Team

marathon

Wafuatao ni wajumbe ambao watakuwa sehemu ya Kamati kuu ya maandalizi ya siku hiyo kutokana na madaraka yao na ulazima wa kusimamia utekelezaji mzima ya “Chemka Marathon”:

 Katibu Tawala wa Wilaya ya Hai (DAS),
 Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Hai,
 Katibu wa Chama cha Riadha Mkoa (Kilimanjaro),
 Katibu wa Chama cha Riadha wa Wilaya ya Hai,
 Mjumbe wa Kamati ya Kili Marathon,
 Mkuu wa Jeshi la Polisi wa Wilaya ya Hai,
 Daktari Mkuu wa Wilaya ya Hai,
 Meneja wa TARURA (W),
 Afisa Utamaduni wa Wilaya ya Hai,
 Vyombo vya Habari,
 Vijana 20 wa Skauti.

Meet

team

Waiting For You At

Chemka Marathon
Share on facebook
Facebook
Share on telegram
Telegram
Share on twitter
Twitter
Share on linkedin
LinkedIn
Share on whatsapp
WhatsApp

Chemka Marathon © 2021. All rights reserved.