Our

mission

Lengo/Dhamira ya siku ya Chemka Hai Marathon

1. Kuitangaza Chemchemi ya Chemka – Chemka Hot Spring;
2. Kuhamasisha Utalii wa ndani kwa Watanzania;
3. Kuitangaza Wilaya ya Hai na kuhamasisha michezo ya afya kwa wananchi;
4. Kuongeza mapato ya Ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Hai;
5. Kufanya harambee kwa lengo la kuboresha eneo linalozunguka Chemchemi hiyo kwa kuboresha miundombinu na mazingira yote yanayozunguka eneo lote;
6. Kufanya harambee kwa lengo la Kuinua na kuimarisha uchumi wa kipato kwa Wanawake, Vijana na Walemavu.

Tanbihi:

Kutokana na malengo hayo, inatupelekea kuwa na Kauli Mbiu ya siku hiyo kuwa:

Tanbihi:

Kutokana na malengo hayo, inatupelekea kuwa na Kauli Mbiu ya siku hiyo kuwa:

“Chemka kwa Maendeleo ya Kiuchumi na Ustawi wa Watanzania”

0
routes
0
kilometres
0K
participants

Waiting For You At

Chemka Marathon
Share on facebook
Facebook
Share on telegram
Telegram
Share on twitter
Twitter
Share on linkedin
LinkedIn
Share on whatsapp
WhatsApp

Chemka Marathon © 2021. All rights reserved.