Charity

donations

Katika harambee na makusanyo yote ya fedha yatakayofanyika, fedha itakayopatikana inatarajiwa kuwa na mgawanyo kama ifuatavyo:-

Matumizi ya Fedha Itakayopatikana Siku ya “Chemka Marathon”

Katika harambee na makusanyo yote ya fedha yatakayofanyika, fedha itakayopatikana inatarajiwa kuwa na mgawanyo kama ifuatavyo:-

  1. 40% ya mapato ya siku hiyo igawanywe kwa vikundi vinavyotambulika kisheria ndani ya Halmashauri ya Hai vya Vijana na Wanawake na hasa kuwaandalia miradi ya uzalishaji mali itakayowaweka pamoja kwa kila kikundi.  Lengo ikiwa ni kuwainua kiuchumi kwa kuwapatia vifaa vifuatavyo:
  • WANAWAKE – Watanunuliwa na kukabidhiwa vyerehani 50 ambavyo vitagawiwa katika vikundi vyao na kuwawezesha kuboresha kipato chao:
  • VIJANA – Watanunuliwa bajaji 20 na kuwakopesha kwa riba ya 11.5% ili fedha hiyo iweze kuwa ya mzunguko (Revolving fund) na hatimaye vijana wengi zaidi waweze kufaidika na kukopeshwa bajaji zaidi kisha kuboresha maisha yao na pia kipato kwa Halmashauri;
  1. 40% ya mapato itatumika katika kuboresha miundombinu ya Eneo lote la “Chemka Hot Spring”;
  2. 20% ya mapato itanunua pikipiki 20 maalum za miguu mitatu na kuwapa Walemavu hasa katika vikundi rasmi vyao ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Hai, na hata kuwaandalia mradi mwingine wa pamoja na kuusimamia kwa manufaa ya kuwainua kiuchumi.

Waiting For You At

Chemka Marathon
Share on facebook
Facebook
Share on telegram
Telegram
Share on twitter
Twitter
Share on linkedin
LinkedIn
Share on whatsapp
WhatsApp

Chemka Marathon © 2021. All rights reserved.