days
:
hrs
:
min
:
sec
0K
Participants

Chemka

marathon

“Chemka Marathon Day” ni ubunifu kutoka Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Hai Mheshimiwa Lengai Ole Sabaya. Lengo kuu ikiwa ni kuutangaza Utalii wa kipekee uliopo ndani ya Wilaya ya Hai katika eneo la Chemka inakopatikana Chemchemi ya kipekee yenye Maji ya Moto. Chemchemi hiyo ipo umbali wa Kilometa 35 kutoka Moshi Mjini na Kilometa 69 kutoka Arusha Mjini.

“Chemka Hot Spring” ni moja ya eneo katika Halmashauri ya Wilaya ya Hai ambapo Halmashauri imekuwa ikijipatia mapato makubwa kutoka eneo hilo la Utalii kupitia kiingilio kinacholipwa pindi wageni mbalimbali wanapotembelea eneo hilo.

Soma Zaidi

Our

visions

empower woman

body improvement

promote tourism

Event

schedule

8.30 am

preparation

Mbio zote zinatarajiwa kuanzia eneo husika la “Chemka Hot Spring” na pia kumalizikia eneo hilo hilo.

9.00 am

start

Mpangilio bora kwa wakimbiaji wote kwa kuhakikisha njia zote zinapitika bila usumbufu kwa wakimbiaji wote wa mguu na baiskeli.

1.00 pm

cutoff

Mbio zote zinatarajiwa kumalizikia eneo la “Chemka Hot Spring”.

8.00 am

warm-up

12.00 pm

finish

Mbio zote zinatarajiwa kumalizikia eneo la “Chemka Hot Spring”.

7.30 am

stretching

Mbio zote zinatarajiwa kuanzia eneo husika la “Chemka Hot Spring” na pia kumalizikia eneo hilo hilo.

8.30 am

start

Mpangilio bora kwa wakimbiaji wote kwa kuhakikisha njia zote zinapitika bila usumbufu kwa wakimbiaji wote wa mguu na baiskeli.

12.30 pm

wrap-up

Mbio zote zinatarajiwa kumalizikia eneo la “Chemka Hot Spring”.

Running

ROUTE

quick registration

easy transportation

medical personnel

drink stations

comfortable toilets

Our

partners

Waiting For You At

Chemka Marathon
Share on facebook
Facebook
Share on telegram
Telegram
Share on twitter
Twitter
Share on linkedin
LinkedIn
Share on whatsapp
WhatsApp

Chemka Marathon © 2021. All rights reserved.